About Us| Kuhusu Sisi

Harusi Link ni tuvoti inayosimamiwa na kampuni ya Jobmakini , yenye lengo la kuwaunganisha Wanandoa au Wanandoa wataratijiwa na watoa huduma zinazotegemewa katika kufanikisha harusi na  kuyaleta karibu  mambo yote yanayohusu harusi, kuanzia Nia, maandalizi , siku yenyewe ya Harusi na baada ya Harusi.
Kupitia mtandao huu, mtumiaji atafaidika na mambo yafuatayo:-
1.        Fursa ya kufahamu Zaidi mambo yanayohusu harusi
2.       Fursa ya kufikisha taarifa ya Huduma zinazotegemewa katika maandalizi ya Harusi
3.       Uelewa juu ya watoa huduma mbalimbali za Harusi na zinazoendana
4.      Kujadili maswala yanayohusu ndoa na mahusiano
5.       Kuwapa taarifa ya kusudio la kufunga ndoa rafiki au watu wa karibu ambao umepotezana nao
 
Ni kupitia mtando huu, unaweza ukafanikisha kuandaa harusi yako. Tembelea mtandao huu kila siku ili kujifunza Zaidi na kukuweka karibu na matarajio yako.
 
Kwa wale ambao wanatoa huduma zinazotegemewa sana ili kufanikisha harusi kama vile huduma za Ukumbi, Mapambo, Saloon na Mapambo, Mavazi , Huduma za Chakula, Wanauza Pete na Vidani, Huduma za MC na Muziki, Huduma za Usafiri n.k
 
Je Ungependa Huduma yako iwafikie watazamaji wengi Zaidi?, Wasiliana nasi kwa namba zifuatazo: +255 676 251912 Sasa!