Tupe Pledge yako ni ukurasa maalumu kwa wanaotarajia
kufunga ndoa kuweka taarifa zao na picha ya pamoja. Ikiambatana na nia ya
Kufunga ndoa , tarehe tarajiwa ya ndoa, Mahali, na Ukumbi wa kufanyia Tafrija ya
Kuwapongeza Maharusi.
Ukurasa
huu unatoa fursa kwa marafiki wa karibu ambao kwa namna moja au ingine,
Wahusika hawana mawasiliano nao. Hivyo basi wanaweza kukutana na wanaotarajia
kufunga ndoa kwa kupitia mtandao huu na wakaweza kutoa ahadi yao ya mchango.
Wasiliana
nasi kama unahitaji kuweka taarifa za ndoa yako hapa na upokee ahadi kupitia
Harusi Link. Piga +255 676 251912